Kuhusu Sisi Umoja ni Nguvu - Mbezi Luis
Wazo la kuwa na umoja lilianza katika Jumuiya ya Mt. Gabriel wa Meteso mwaka 2004. walioshiriki mchakato huo ni Flavian Mgomela, Ananias Ngugo, Adam Kiheka, Avitus Rwezaula,Respicius Rutta,Sylivester Matiku, Dr. Santois Lyando,Adelina Katwanga,Gerald Lwila,Lemi,Yohana Napake bila kuwasahau Baltazar Magashi, Emmanuel Masanja, Peter Maliwa maarufu “Jina langu linavuma….”na Daniel Malimi “Sabodo”
Mwaka 2007 rasmi Umoja ni Nguvu ilianzishwa baada ya kujitenga kutoka kwenye Jumuiya na kuwa umoja wa kijamii. Viongozi kwanza walikuwa:
- Mwenyekiti – Flavian Mgomela
- Katibu – Ananias Ngugo
- Mtunza hazina – Jane Santos
Mwaka 2010 tulipitisha dua ya umoja pamoja na kanuni ya kukokotoa kiingilio cha mwanakikundi mpya kwa uratibu wa mzee wetu Yohana Napake.
Mchakato wa kurasimisha umoja wetu uliaza tangu kipindi hicho lakini Umoja ni nguvu ilisajiliwa rasmi mwaka 2011na kupata hati #17461 chini ya viongozi hawa:
- Mwenyekiti – Kilian Chuma
- Katibu – Respicius Rutta
- Mtunza hazina – Andrew Daudi
Orodha ya wana umoja ni nguvu waliosajili kikundi tarehe 16/04/2011 ni hawa wafuatao:
- Adam Kiheka
- Avitus Rwezaula
- Respicius Rutta
Katika kuhakikisha kuwa na umoja imara mwaka huo huo viongozi walifanikish kufungua akaunti katika benki ya CRDB – tawi la Tower. Kwa kupitisha watia saini wafuatao:
- Adam Kiheka
- Zainab Bakari
- Respicius Rutta
- Killian Chuma
Mtiririko wa uongozi wa Umoja ni Nguvu
Mwaka | Jina | Cheo |
2004-2007 | Flavian Mgomela | Mwenyekiti |
Respicius Rutta | Katibu | |
Jane Santos | Mweka hazina | |
2008-2011 | Adam Kiheka | Mwenyekiti |
Avitus Rwezaula | Katibu | |
Jane Santos | Mweka hazina | |
2011-2014 | Kilian Chuma | Mwenyekiti |
Respicius Rutta | Katibu | |
Andrew Daudi | Mweka hazina | |
2014-2017 | Adam Kiheka | Mwenyekiti |
William Majegu | Katibu | |
Clement Camilius | Mweka hazina | |
2018-2020 | Kilian Chuma | Mwenyekiti |
Frank Ishengoma | Katibu | |
Respicius Rutta | Mweka hazina | |
Zainab Bakari | Katibu msaidizi | |
2021-2022 | Alex Kanyambo | Mwenyekiti |
Avitus Rwezaula | Katibu | |
Respicius Rutta | Mweka hazina | |
Mariam Dibogo | Katibu msaidizi | |
2023 | Alex Kanyambo | Mwenyekiti |
William Majegu | Katibu | |
Respicius Rutta | Mweka hazina | |
Mariam Dibogo | Katibu msaidizi |
Lengo na madhumuni ya umoja ilikuwa ni kusaidiana katika matatizo kama msiba, ugonjwa, maafa pia kusaidiana katika shughuli za kijamii kama harusi Jubilei nk.
Mengine kushirikiana katika shughuli yoyote kama sherehe ya kupata mtoto, ubatizo, maulid nk inayomhusu mwanakikundi baada ya kutakiwa kufanya hivyo.