Kuhusu Sisi Umoja ni Nguvu - Mbezi Luis

Wazo la kuwa na umoja lilianza katika Jumuiya ya Mt. Gabriel wa  Meteso mwaka 2004. walioshiriki mchakato huo ni Flavian Mgomela, Ananias Ngugo, Adam Kiheka, Avitus Rwezaula,Respicius Rutta,Sylivester Matiku, Dr. Santois Lyando,Adelina Katwanga,Gerald Lwila,Lemi,Yohana Napake bila kuwasahau Baltazar Magashi, Emmanuel Masanja, Peter Maliwa maarufu “Jina langu linavuma….”na Daniel Malimi “Sabodo

Mwaka 2007 rasmi Umoja ni Nguvu ilianzishwa baada ya kujitenga kutoka kwenye Jumuiya na kuwa umoja wa kijamii. Viongozi  kwanza walikuwa:

  1. Mwenyekiti – Flavian Mgomela
  2. Katibu –  Ananias Ngugo
  3. Mtunza hazina   –  Jane Santos

Mwaka 2010 tulipitisha dua ya umoja pamoja na kanuni ya kukokotoa kiingilio cha mwanakikundi mpya kwa uratibu wa mzee wetu Yohana Napake. 

Mchakato wa kurasimisha umoja wetu uliaza tangu kipindi hicho lakini Umoja ni nguvu ilisajiliwa rasmi mwaka 2011na kupata hati #17461 chini ya viongozi hawa:

  1. Mwenyekiti    –     Kilian Chuma
  2. Katibu                –     Respicius Rutta 
  3. Mtunza hazina    –     Andrew  Daudi 

Orodha ya wana umoja ni nguvu waliosajili kikundi tarehe 16/04/2011 ni hawa wafuatao:

  1. Adam Kiheka
  2. Avitus Rwezaula
  3. Respicius Rutta

Katika kuhakikisha kuwa na umoja imara mwaka huo huo viongozi walifanikish kufungua akaunti  katika benki ya CRDB – tawi la Tower. Kwa kupitisha watia saini wafuatao:

  1. Adam Kiheka
  2. Zainab Bakari
  3. Respicius Rutta
  4. Killian Chuma

Mtiririko wa uongozi wa Umoja ni Nguvu

Mwaka

Jina

Cheo

2004-2007

Flavian Mgomela

Mwenyekiti

 

Respicius Rutta

Katibu

 

Jane Santos

Mweka hazina

2008-2011

Adam Kiheka

Mwenyekiti

 

Avitus Rwezaula

Katibu

 

Jane Santos

Mweka hazina

2011-2014

Kilian Chuma

Mwenyekiti

 

Respicius Rutta

Katibu

 

Andrew Daudi

Mweka hazina

2014-2017

Adam Kiheka

Mwenyekiti

 

William Majegu

Katibu

 

Clement Camilius

Mweka hazina

2018-2020

Kilian Chuma

Mwenyekiti

 

Frank Ishengoma

Katibu

 

Respicius Rutta

Mweka hazina

 

Zainab Bakari

Katibu msaidizi

2021-2022

Alex Kanyambo

Mwenyekiti

 

Avitus Rwezaula

Katibu

 

Respicius Rutta

Mweka hazina

 

Mariam Dibogo 

Katibu msaidizi

2023

Alex Kanyambo

Mwenyekiti

 

William Majegu

Katibu

 

Respicius Rutta

Mweka hazina

 

Mariam Dibogo

Katibu msaidizi

Lengo na madhumuni ya umoja ilikuwa ni kusaidiana katika matatizo kama msiba, ugonjwa, maafa pia kusaidiana katika shughuli za kijamii kama harusi Jubilei nk.

Mengine kushirikiana katika shughuli yoyote kama sherehe ya kupata mtoto, ubatizo, maulid nk inayomhusu mwanakikundi baada ya kutakiwa kufanya hivyo.

Viongozi Wetu Kutana na Viongozi wa Umoja ni Nguvu