Mnamo tarehe 07/06/24 familia ya Clement Camilius ilipata simanzi ya kuondokewa na kijana wao Mlondwa. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema...
Mwenyekiti Ndugu Alex Kanyambo akiweka shada la maua kwenye kabuli la Mlondwa kuwakilisha wana umoja ni nguvu June 2024.